Mchekeshaji Said Said amesema picha aliyopiga na Rais Samia Suluhu Hassan imempatia michongo mingi ambayo hakutarajia.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi amesema Tanzania imebahatika kuongozwa na viongozi ...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman, ameeleza kushangazwa na ...
Rais Mwinyi na Balozi Nchimbi kutokana na uamuzi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kwa upande wake, Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Kanali Mstaafu Fred Mwesigye, amefikisha salamu za pongezi kutoka kwa ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanawake wanapata fursa sawa za kiuchumi ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora hadi pale utakapofanyiwa marekebisho na kukidhi vigezo vya kutumika kwa mechi za ligi ... lengo la kuwahi ...
Mkuu wa Halmashauri Kuu ya EU, Ursula von der Leyen na rais wa baraza la EU Antonio Costa Picha: Nick Gammon/John Thys/AFP/Getty Images Mkuu wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der ...
Alisema ni vyema wodi ya mifupa ibaki yenyewe. Amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa apeleke Sh milioni 240 kwa ajili ya kujenga ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuridhishwa na upatikanaji wa bidhaa za vyakula na kuwataka wafanyabiashara kutopandisha bei wakati Ramadhani ...
Vita kubwa ipo katika kinyang’anyiro cha nafasi za ujumbe wa kamati za utendaji ambayo inahusisha wagombea tisa wanaowania nafasi sita. Katika kundi hilo yumo Rais wa TFF, Wallace Karia ambaye pia ni ...
Bila shinikizo wachague wanakotaka kuhamia Masharti ya M23 kwa MONUSCO yanakwamisha operesheni Kampeni za habari potofu na uongo zatishia maisha ya walinda amani Maelfu ya raia wa Jamhuri ya ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Boti za kubeba Wagonjwa wakati wa dharura (Ambulance Boat, huku akisema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya ...