Mchekeshaji Said Said amesema picha aliyopiga na Rais Samia Suluhu Hassan imempatia michongo mingi ambayo hakutarajia.
"Kwenye page yangu ya Instagram zipo tatu na mpango wa kuishusha ya Mwamposa niweke ya Hussein Ali Mwinyi ( Rais ... Utakumbuka picha aliyoweka Said kwenye bango ni ile aliyopiga na Rais Samia kwenye ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi amesema Tanzania imebahatika kuongozwa na viongozi ...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF), safari hii halicheki na mtu. Limeendelea kuvifungia viwanja ambavyo linaona ...
Kula ukitazama TV lilianzia Marekani mwanzoni mwa karne ya 20. Watu walikua wanaangalia picha za kukaa kwenye kochi na kuangalia TV huku watu wakila vyakula vilivyosindikwa na vilivyojaa chumvi ...
Duniani, takriban tani milioni 37 za mashudu huzalishwa kila mwaka ... na nyuzinyuzi kwenye mlo wetu," anasema. Chanzo cha picha, Arda Biomaterials Mashudu ya shayiri ni chanzo tajiri cha ...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikisimama hadi Aprili Mosi ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana ... kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora. Nyota huyu kwa sasa ...
Amewaambia wanafunzi hao dhamira ya kufika katika shule hiyo ni kampeni maalum ya kutafuta kura za Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. “Ilani ambayo inatekelezeka ni Ilani ...
Wakati Waislamu kote ulimwenguni wanapokusanyika kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, wengi wao wanafanya hivyo wakiwa na hofu, hofu ya kubaguliwa, kutengwa, na hata vurugu.” Amesema Katibu Mkuu wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results